- 1、本文档共8页,可阅读全部内容。
- 2、有哪些信誉好的足球投注网站(book118)网站文档一经付费(服务费),不意味着购买了该文档的版权,仅供个人/单位学习、研究之用,不得用于商业用途,未经授权,严禁复制、发行、汇编、翻译或者网络传播等,侵权必究。
- 3、本站所有内容均由合作方或网友上传,本站不对文档的完整性、权威性及其观点立场正确性做任何保证或承诺!文档内容仅供研究参考,付费前请自行鉴别。如您付费,意味着您自己接受本站规则且自行承担风险,本站不退款、不进行额外附加服务;查看《如何避免下载的几个坑》。如果您已付费下载过本站文档,您可以点击 这里二次下载。
- 4、如文档侵犯商业秘密、侵犯著作权、侵犯人身权等,请点击“版权申诉”(推荐),也可以打举报电话:400-050-0827(电话支持时间:9:00-18:30)。
- 5、该文档为VIP文档,如果想要下载,成为VIP会员后,下载免费。
- 6、成为VIP后,下载本文档将扣除1次下载权益。下载后,不支持退款、换文档。如有疑问请联系我们。
- 7、成为VIP后,您将拥有八大权益,权益包括:VIP文档下载权益、阅读免打扰、文档格式转换、高级专利检索、专属身份标志、高级客服、多端互通、版权登记。
- 8、VIP文档为合作方或网友上传,每下载1次, 网站将根据用户上传文档的质量评分、类型等,对文档贡献者给予高额补贴、流量扶持。如果你也想贡献VIP文档。上传文档
查看更多
KuzimuniHalisi,nilikwendahuko!.doc
Kuzimu ni Halisi, nilikwenda huko!
na Jennifer Perez
Ushuhuda wa msichana mwenye umri wa miaka 15 ambaye alilelewa katika Familia ya Kikristo. lakini baadaye alirudi nyuma katika?safari yake ya wokovu, alijikuta akitumia madawa ya kulevya kupindukia, akafa, na kupelekwa Kuzimu. Kwa neema tu, alipewa nafasi ya pili na mpango/ ujumbe wa haraka wa kuja tena na kuonya waliovuguvugu na waliopotea,
www.DivineR/SWAHILI Mungu akubariki kaka na dada, ningependa ufungue Biblia yako na urejee Yoeli 2:28 Na baada ya hayo, nitamimina Roho yangu juu ya watu wote wana wenu na binti zenu. watatabiri, wazee wenu wataota ndoto, na vijana wenu wataona maono.
Jina langu ni Jennifer Perez na mimi nina umri wa miaka 15. Ni vigumu kwa kijana kama mimi kuja kwenu na kutambua/kukiri makosa yangu mwenyewe. Lakini kwa msaada wa Roho Mtakatifu, Yeye atanisaidia, na kunipa mimi nguvu ninazohitaji. Awali ya yote nataka kusema kwamba hii ni kwa Heshima na Utukufu wa Bwana wangu Yesu Kristo. Sitaki kusema fundisho/msingi au kuweka fundisho/msingi mpya, ninakwenda tu kuwaambia kile nilichokiona, nikasikia, na kukihisi.
Ningependa kukuambia kidogo kuhusu familia yangu. Wazazi wangu ni Wakristo, na wao daima
wamekuwa wakinifundisha mimi mifano mizuri, na njia ya Bwana. Nilikuwa Mkristo miaka 3 iliyopita, nilipokiri Yesu na kumkubali awe Bwana na Mwokozi wangu kupitia kwa ndugu/kaka Nicky Cruze . Nilitembea katika njia ya Bwana kwa miaka 2. Lakini nilipoanza High School, nilianza kuasi na kuacha njia ya Bwana. Nilikuwa muasi kwa wazazi wangu na nikajitumbukiza kwenye madawa ya kulevya. Rafiki zangu walinifundisha kufanya mambo hayo. Mimi nilifikiri bado nilikuwa Mkristo, na kwamba naweza kuwaleta marafiki zangu kuwa Wakristo. Lakini badala yake, walinivuta nyuma katika ulimwengu. Ndivyo nikazidi kuwa muasi hata kwa wazazi wangu, na wao walidhani ilikuwa tu kitu cha kwawaida vijana hupitia. Lakini kwa kweli, ilikuwa ni madawa ya kulevya yaliyofanya mimi kufanya hivyo. Roho za uovu ziliingia ndan
您可能关注的文档
- BLASTandMultipleSequenceAlignment.ppt
- C.elegansGeneKnockoutProtocols.doc
- Callmeatseven.ppt
- CHAPTER12AnalysisofVarianceTests.ppt
- Chapter6WirelessandMobileNetworks.ppt
- Chun-chiehHuangNationalChairProfessorNationalTaiwan.ppt
- CN=张英博OU=登记存管部OU=公司总部O=ChinaClear-特.ppt
- CongratulationstotheFY-16HRCAPTSelectees!.doc
- contemporarylogisticschapter4.ppt.ppt
- Contract合同.ppt
- 2023-2024学年广东省深圳市龙岗区高二(上)期末物理试卷(含答案).pdf
- 2023-2024学年贵州省贵阳市普通中学高一(下)期末物理试卷(含答案).pdf
- 21.《大自然的声音》课件(共45张PPT).pptx
- 2023年江西省吉安市吉安县小升初数学试卷(含答案).pdf
- 2024-2025学年广东省清远市九校联考高一(上)期中物理试卷(含答案).pdf
- 广东省珠海市六校联考2024-2025学年高二上学期11月期中考试语文试题.pdf
- 2024-2025学年语文六年级上册第4单元-单元素养测试(含答案).pdf
- 2024-2025学年重庆八中高三(上)月考物理试卷(10月份)(含答案).pdf
- 安徽省安庆市潜山市北片学校联考2024-2025学年七年级上学期期中生物学试题(含答案).pdf
- 贵州省部分校2024-2025学年九年级上学期期中联考数学试题(含答案).pdf
文档评论(0)